## [Saidia Kurekebisha Vundle](https://github.com/VundleVim/Vundle.vim/issues/383) ## Yaliyomo - [Kuhusu](#kuhusu) - [Kuanza](#kuanza) - [Nyaraka](#nyaraka) - [Mabadiliko](#mabadiliko) - [Watu Wanao Tumia Vundle](#watu-wanao-tumia-vundle) - [Wachangiaji](#wachangiaji) - [Uvuvio & Mawazo](#uvuvio--mawazo) - [Pia](#pia) - [Chakufanya](#chakufanya) ## Kuhusu
[Vundle](https://github.com/VundleVim/Vundle.vim) ni kifupisho cha Vim bundle na pia ni plugin ya kumanage [Vim.](https://www.vim.org/) [Vundle](https://github.com/VundleVim/Vundle.vim) inakuruhusu wewe kufanya yafuatayo... - kuweza kujua na kufanya [configuration](https://github.com/VundleVim/Vundle.vim/blob/v0.10.2/doc/vundle.txt#L126-L233) za plugins zako ndani ya `.vimrc` - [kusakinisha](https://github.com/VundleVim/Vundle.vim/blob/v0.10.2/doc/vundle.txt#L234-L254) plugins ambazo ziko configured(kwa jina la maandiko/bundle) - [kuongeza](https://github.com/VundleVim/Vundle.vim/blob/v0.10.2/doc/vundle.txt#L255-L265) plugins ambazo ziko configured - [kutafuta](https://github.com/VundleVim/Vundle.vim/blob/v0.10.2/doc/vundle.txt#L266-L295) kwa jina maandiko yote ambayo yapo ndani ya [Vim maandiko/Scripts(Hati)](http://vim-scripts.org/vim/scripts.html) - [kutoa](https://github.com/VundleVim/Vundle.vim/blob/v0.10.2/doc/vundle.txt#L303-L318) plugins ambazo hazitumiki - kutekeleza(run) vitendo hapo juu kwa kubonyeza moja pamoja na [modi ya interactive](https://github.com/VundleVim/Vundle.vim/blob/v0.10.2/doc/vundle.txt#L319-L360) [Vundle](https://github.com/VundleVim/Vundle.vim) inafanya automatiki kuratibu Vitu Vifuatavyo... - [kuratibu](http://vimdoc.sourceforge.net/htmldoc/options.html#%27runtimepath%27) njia ya runtime ya maandiko ambazo zimesakinishwa - inatengeneza [tag za msaada](http://vimdoc.sourceforge.net/htmldoc/helphelp.html#:helptags) baada ya kusakinisha na kupandisha [Vundle](https://github.com/VundleVim/Vundle.vim) inapitia [mabadaliko ya mwonekano](https://github.com/VundleVim/Vundle.vim/blob/v0.10.2/doc/vundle.txt#L372-L396),tafadhali kuwa tayari kuweza kupata mabadiliko ya sasa chat katika gitter kwa ajili ya majadiliano na support ![Vundle-installer](http://i.imgur.com/Rueh7Cc.png) ## Kuanza
1. Kuanza: kusakinisha kunahitaji uwe na [Git](http://git-scm.com/) pamoja na kutekeleza(run) [git clone](http://gitref.org/creating/#clone) kwa kila repositori ambayo ipo configured kwa `~/ .vim/bundle/` kwa default.Curl inahitajika kwa ajili ya kutafuta. Kama unatumia Windows, nenda moja kwa moja katika [setup ya Windows](https://github.com/VundleVim/Vundle.vim/wiki/Vundle-for-Windows).Kama utapata tatizo , hakikisha unaenda sehemu ya [FAQ](https://github.com/VundleVim/Vundle.vim/wiki).Angalia [Mbinu](https://github.com/VundleVim/Vundle.vim/wiki/Tips-and-Tricks) kwa ajili ya configurations za level kubwa. Kwa kutumia non-POSIX shels, kama shell za popular fish, zinahitaji setup za nyongeza. Tafadhali angalia [Mswali Kuhusu Hili](https://github.com/VundleVim/Vundle.vim/wiki). 2. Kutengeneza(Kuset) [Vundle](https://github.com/VundleVim/Vundle.vim): ```sh git clone https://github.com/VundleVim/Vundle.vim.git ~/.vim/bundle/Vundle.vim ``` 3. Configure Plugins: Weka hii juu ya `.vimrc` ili kutumia Vundle.Toa plugins ambazo huhitaji, zipo kwa ajili ya lengo la illustration. ```sh set nocompatible " inapaswa kuboreshwa, inahitajika filetype off " inahitajika " weka njia ya runtime kujumuisha Vundle na anzisha set rtp+=~/.vim/bundle/Vundle.vim call vundle#begin() " badala yake, weka njia ambapo Vundle inapaswa kusakinisha nyongeza "call vundle#begin('~/some/path/here') " ruhusu Vundle kusimamia Vundle, inahitajika Plugin 'VundleVim/Vundle.vim' " Zifuatazo ni mifano ya miundo tofauti inayoungwa mkono. " Weka amri za Plugin kati ya vundle#begin/end. " nyongeza kwenye GitHub repo Plugin 'tpope/vim-fugitive' " nyongeza kutoka http://vim-scripts.org/vim/scripts.html " Plugin 'L9' " Git plugin ambayo haijawekwa kwenye GitHub Plugin 'git://git.wincent.com/command-t.git' " hifadhi za git kwenye mashine yako ya ndani (yaani wakati unafanya kazi kwenye nyongeza yako mwenyewe) Plugin 'file:///home/gmarik/path/to/plugin' " Hati ya vim ya sparkup iko kwenye jalada dogo la repo hii inayoitwa vim. " Pitia njia ili kuweka runtimepath vizuri. Plugin 'rstacruz/sparkup', {'rtp': 'vim/'} " Sakinisha L9 na epuka mgongano wa majina ikiwa tayari umesakinisha " toleo tofauti mahali pengine. " Plugin 'ascenator/L9', {'name': 'newL9'} " Nyongeza zote lazima ziwekwe kabla ya mstari ufuatao call vundle#end() " inahitajika filetype plugin indent on " inahitajika " Ili kupuuza mabadiliko ya indent ya nyongeza, badala yake tumia: "filetype plugin on " " Msaada mfupi " :PluginList - orodhesha nyongeza zilizosanidiwa " :PluginInstall - sakinisha nyongeza; ongeza `!` kusasisha au tu: PluginUpdate " :PluginSearch foo - tafuta foo; ongeza `!` kusasisha cache ya ndani " :PluginClean - thibitisha kuondolewa kwa nyongeza ambazo hazitumiki; ongeza `!` kuidhinisha kuondolewa moja kwa moja " " tazama :h vundle kwa maelezo zaidi au wiki kwa Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara " Weka vitu vyako visivyo vya Plugin baada ya mstari huu ``` 4. Sakinisha Plugins Anzisha `vim` na tekeleza `:PluginInstall` Kusakinisha kutoka kwenye command line: `vim +PluginInstall +qall` 5. (sio lazima) Kwa wale ambao wanatumia shell: ongeza(add) `set shell=/bin/bash` kwenye `.vimrc` ## Nyaraka
Angalia [:h vundle](https://github.com/VundleVim/Vundle.vim/blob/master/doc/vundle.txt) Vimdoc kwa maelekezo zaidi. ## Mabadiliko
Angalia [changelog](https://github.com/VundleVim/Vundle.vim/blob/master/changelog.md) ## Watu Wanao Tumia Vundle
angalia ,[mifano](https://github.com/VundleVim/Vundle.vim/wiki/Examples) ## Wachangiaji
angalia [Wachangiaji wa Vundle](https://github.com/VundleVim/Vundle.vim/graphs/contributors) Ahsanteni ## Uvuvio & Mawazo
- [pathogen.vim](http://github.com/tpope/vim-pathogen/) - [Bundler](https://github.com/bundler/bundler) - [Scott Bronson](http://github.com/bronson) ## Pia
- Vundle imetengenezwa na kufanyiwa majaribio na [Vim](http://www.vim.org/) 7.3 katika OS X, Linux na Windows - Vundle inajaribu kuwa [KISS](http://en.wikipedia.org/wiki/KISS_principle) kwa namna yoyote ## Chakufanya [Vundle](http://github.com/VundleVim/Vundle.vim) ni kazi ambazo ipo kwenye mwendelezo, hivyo wazo lolote na patch tutashukuru - [x] kuwasha bundle mpya ambazo zimewekwa katika `.vimrc` reload au baada `:PluginInstall` - [x] Tumia hakikisha(preview) window kwa ajili ya matokeo ya kutafuta - [x] Maelekezo ya Vim - [x] weka Vundle katika `bundles/` pia(tutasuruhisha msaada ya Vundle) - [x] majaribio - [x] kubadili kuweza kupambana na matatizo kuruhusu kuspecify version/revision(toleo/marekebisho) kuhandle utegemezi(dependencies) kuonesha maelekezo katika matokeo ya kutafuta kutafuta maelekezo pia kufanya iwe safi!